ABOUT, chief executive officer "CEO"
Niko hapa kwaajili ya vijana wenzangu tufanye kazi kwa pamoja ili tufikie malengo yetu, tunaamini hapa Tanzania tuna mafundi wengi ambao ajira limekuwa swala gumu kwa sasa, hivyo nichukue nafasi hii kukutaarifu wewe kama fundi au kijana mwenzangu jiunge nasi ili uwe sehemu ya kujiingizia kipato kupitia kazi utakazoenda kuzifanya.
No comments:
Post a Comment